Posts

Showing posts from May, 2018

Faida za kuanza na mtaji mdogo katika biashara

Faida za kuanza na mtaji mdogo katika biashara  Watu wengi ni wajasiriamali wanaotamani   kuanza bishara nao wana mawazo mazuri ya kuweza kuanzisha biashara ila hujikuta wamekwama kwa tatitzo la kukosa mitaji kwa ajili ya kuanzisha biashara au kuyafanyia kazi mawazo yao walionayo wanayoamini yanaweza kuwatoa toka sehemu moja kiuchumi hadi sehemu nyingine.Lakini katika msisitizo wangu kwa wote mnaosoma Makala zangu usiogope kwa kua na mtaji mdogo na kutaka mpaka uwe na mtaji mkubwa ili uanze kufanya biashaara ila anza tu .na Kama mtaji unao mdogo kabisa lakini unakuwezesha kuanza usisubiri kumiliki mamilioni ili kuanza kutendea wazo lako . Faida za kuanzisha biashara ukiwa na mtaji mdogo 1.Unapata nafasi ya kuwajua wateja wako .             Kwa kuanza na mtaji mdogo unapata nafasi ya kuwajua wapi ni wateja wako unajua umri wao,kipato chao ,tabia zao,tamaduni zao hivyo huo ni utafiti ambao unaufanya kwa k...

Failure is a bait to your Success

Image
Failure is a bait to your Success Failure –refers to falling short of your targets, Not reaching your goals, not succeeding to something you took time preparing for and something you labored hard for which you were confident I have this. Why is failure a bait to your success v   Failure helps to show   you what opportunities you didn’t see first place Ø   If happens you encountered a failure don’t wory it is another menas of brain storming of your ideas the failure will open you mind to new opportunities it will depend on how you decide to take it. v   Failure gives you a chance to learn. Ø   You take as a learning tool it will assist you but if you take it as a stumbling block you will never move ahead. v   Failure assist you how to set counter measures in the future. Ø   Once you have failed it is not end of the journey or to what you’re doing to someone who is committed to reach his destinatio...