Posts

Showing posts from November, 2017

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUA MJASIRIA MALI

Image
Mjasiria Mali ni nani             Ni mwanzilishi mmbunifu mtu mwenye wazo na mtekeleaji wa mawazo ya kibiashara,ni mtu ambaye anauwezo wa kuona fursa nakuamua kuzifanyia kazi zile fursa kwa ajili ya manufaa chanya iwe katika sekta ya kilimo,usafiri,uuzaji  bidhaa au utaalamu na kuweza kutengeneza faida kupitia shughuli hiyo 1. Unakua kiongozi wa maisha yako             Unaapokua mjasiria mali unapata nafasi ya kua na maamuzi ya maisha yako na wapi unataka kwenda na wapi au kwa kiasi gani unaeza fikia kwa malengo yako ya kimaisha kwani ukiajiriwa utakua ukishi kwa mnyororo ulopangiwa na mjasiria mali aliyeanzisha hiyo kampuni unayoifanya kazi. 2. Uhuru             Mjasiria mali anapata uhuru wa kufanya mambo yake na kupanga ratiba zake pia kuweza kufurahia maisha si kama muajiriwa ambaye mda wake unaendesh...

ZIFAHAMU TABIA ZA WAJASIRIA MALI WANAOFANIKIWA

Image
Mjasiria Mali ni nani             Ni mwanzilishi mmbunifu mtu mwenye wazo na mtekeleaji wa mawazo ya kibiashara,ni mtu ambaye anauwezo wa kuona fursa nakuamua kuzifanyia kazi zile fursa kwa ajili ya manufaa chanya iwe katika sekta ya kilimo,usafiri,uuzaji  bidhaa au utaalamu na kuweza kutengeneza faida kupitia shughuli hiyo 1. Kuona fursa/Maono/Mawazo(Visualization)                 Mjasiria mali yeyote hua na uwezo wa kuona fursa kabla hata ya watu wengine kuweza kuziona na ni watu walio namaono ya mbali na kujua vitu gani vitahitajika baada ya mda Fulani hivyo wao mawazo yao hufurika fursa mbalimbali na kuchagua kitu kipi wakifanye na kukigeuza kua fedha. 2.Hufurahia kufanya vitu wavipendavyo                 Wajasiria mali   vyema na watewengi hupen...