Posts

Showing posts from August, 2021

Jinsi ya Kuongeza Mauzo kwa kuzingatia Fikra za mteja

  JINSI YA KUONGEZA MAUZO KWA KUZINGATIA FIKRA ZA MTEJA Katika vitu nimejifunza katika biashara na baada ya kufanya utafiti juu ya wateja wengi ni kwamba mteja anapokuja katika biashara yako si kwamba anakuja kwa sababu sehemu nyingine hakuna bidhaa kama hiyo ila ni kwamba kwako anapata bidhaa Zaidi ya hivyo vitu anaweza pata sehemu nyingine. Unapofanya biashara ukiweza kujumuisha na hisia unaweza washawishi wateja wengi Zaidi kwani hisia humfanya mtu kua mtumwa wake na hivyo kuna fursa ya kuongeza mauzo na mapato kama utaweKa na bonus ya hisia katika bidhaa au huduma zako. 1.Mteja wa thamani Kuna huduma zinaitwa mteja wa thamani hii ni huduma wengi tumekutana nayo mfano katika mabenki au katika huduma mbalimbali watu hua tayari kutoa fedha zao ilimradi kwanza wapewe kipaumbele cha thamani hata kwa kuongezewa vitu vidogo sana lakini wapo tayari kutoa fedha Zaidi kwa sababu wameitwa na wameonekana wa thamani. 2.Hisia ya kwamba ni bei rahisi Hiyo ni hisia ambayo mteja ana...

Feelings roles on increasing your sells to grow your Revenues

  Feelings roles on increasing your sells to grow your Revenues In order to be able to persuade you’re prospective or your current clients there are a different ways you can use to ensure you acquire or even retain them and receive an exponential growth of your revenues. But the essence of this article is that the company should focus on selling the feeling over the products or services. Feeling selling has potentials to grow your revenues $ because someone who gets aroused can do anything to just have that feelings attained and maintained, feeling can be addictive. People   have money but they cannot just give out their money because you have asked for it or just because you are selling something does not guarantee they will buy .In the era where there is mass productions Universal standardizations consumers ,investors to them are getting more sophisticated they want any dollar amount from their pockets fulfills more purpose than a product or service sold. Example peopl...