Madhara yatokanayo na mitandao ya kijamii
Madhara yatokanayo na mitandao ya kijamii Mitandao ya kijamii ,ni mitandao inayotupa nafasi sisi binadamu kupashana habari na kupeana taarifa juu ya mambo yanayotokea sehemu nyingine katika dunia au sehemu ya mbali na ni njia mojawapo yakuwakutanisha watu waliopoteana kwa mda mrefu ili mradi waweza kukumbukana kwa majina au utambulisho wao na pia inatoa nafasi ya kuwasiliana na watu tusiofahamiana.mfano wa mitandao ya kijamii “Facebook,Intagram,Whatsap,Youtube,snapchat,twitter etc. Mitandao ya kijamii inavyofanya kazi Wametengeneza mfumo ambao umekua ukitumia saikolojia ya mwanadamu kumuendesha aweze kushinda katika mitandao hiyo ya kijamii na kwa mda mwingi wanye mitandao wamekua wakifatiliwa nini mtumiaji anafanya katika mitandao hiyo ya kijamii hivyo hiyo mitandao imekua ikitumia taarifa hizo kumfanya mtumiaji kurudi mara kwa mara akijirudia kila mda kwa kufatilia mapendekezo yanayotolewa tokana na tabia na vitu avipendavyo ambavyo kuna wakati vimekua vitu